Sunday 24 May 2015

AJARI YA SUPER FEO MAPEMA LEO ASUBUHI

unnamed
Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea likiwa limetumbukia mtoni Leo asubuhi. basi hilo la Super Feo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kujaribu kulipita gari lingine na kukutana na lori mbele yake kisha likatumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara wakati dereva wa basi hilo akijaribu kukwepa roli hilo.Bado haijafahamika ni abiria wangapi wamepoteza maisha ama kujeruhiwa Taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata kutoka kwa mamlaka husika.
Kwa mujibu wa Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa mbeya BUTUSYO amesema abiria walio poteza maisha ni watatu.

No comments: