Thursday 13 October 2016

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATAKA JIJI LA MBEYA LIWE JIJI LA MFANO TANZANIA

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATAKA JIJI LA MBEYA LIWE JIJI LA MFANO TANZANIA
-  Aiagiza watendaji wa jiji kulipanga jiji, kuliweka safi na Bustani za kuvutia
- sheria ndogo za waharibifu wa mazingira na watupa taka hovyo zisimamiwe
- maeneo kwa  ajili ya wamachinga yataboreshwa

No comments: