Wanaume
wanazungumza maneno yasiyozidi 6000 kwa siku, lakini wanawake wanazungumza
maneno zaidi ya 24,000 kwa siku.
Hapa muhimu
ni kusikilizana ili kuboresha mahusiano na ndoa kwa walioko kwenye ndoa.
Baadhi ya
wanaume wanawapuuza na kukereka sana na tabia za wenza wao ambao wanaonekana
kuwa wazungumzaji zaidi.
Lakini dawa ni kuwasikiliza hapo mwanamke hujisikia
vizuri zaidi.
Mungu awabariki.
No comments:
Post a Comment