MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI HAPPY KIMALI AHUKUMIWA KWENDA JELA KWA MIAEZI MITATU.
Mwimbaji
Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy Kamili Pichani amehukumiwa
kifungo cha Miezi mitatu jela kwa kosa la Kugonga Gari iliyokuwa nyuma
yake wakati alipokuwa akiirudisha nyuma Gari yake mwezi wa kwanza mwaka
huu.
No comments:
Post a Comment