Watu
watatu wamejeruhiwa leo alfajiri na kukimbizwa hospitali baada ya Gari lao dogo
kupata ajali wakiwahi Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe . Chanzo
cha ajali hiyo ni mwendo kasi na alikuwa akilipita gari lengine na mbele kukawa
na Gari lengine nalo linakuja kwa mwendo na ndipo lilipo mshinda , akagonga
nguzo za taa barabarani Kisha Kupinduka. Hata hivyo wasafiri hao safari yao
iliishia RRM.
No comments:
Post a Comment