Wednesday, 13 August 2014

AJALI YAKUTISHA KATI PIKIPIKI NA DALADALA MAENEO YA STENDI YA NANENANE JIJINI MBEYA


Ikiwa imebebwa tayari kupelekwa kituo cha polisi cha ilomba

Maji yalivyozua sintofahamu kwa mashuhuda wa ajali hiyo waliyomkutanayo dereva wa pikipiki aliyezimia na kupelekwa hospitali

Mashuhuda wakiangalia maji ya ajabu ambayo hayakuweza kujulikana ni ya namna gani

Pikpiki iliyopata ajali






          Aidha mmoja wa mashuda wa ajali akiojiwa na mwandishi wetu amesema chanzo za ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa daladala ambaye aliingia barabarani bila kuangalia pande zote za barabara na kusababisa dereva wa pikipiki kukosa mwelekeo na kuvamia daladala upande wa tairi la kulia mwa dereva
         Akidhibitisha kutokea kwa ajali hiyo polisi wa usalama barabarani alisema wamemchukua majeruhi na kumwaisha hospitali huku akiwa kwenye hali mbaya ingawa dereva wa dalada alitoweka kusiko julikana baada ya kusababisha ajali
            Na Habaritalkblog.com

No comments: