Digital Technical College of Tanzania (DTCT) kilichosajiliwa na NACTE kwa namba REG/BTP/071P kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2016/2017.
1. Certificate in Journalism (Mwaka 1)
2. Diploma in Journalism (Miaka 2)
3. Computer Applications (Miezi 2)
4. Hotel Management (Miezi 6)
* Sehemu ya field utatafutiwa na chuo.
* Wanafunzi wote wa kozi ya Journalism watafanyakazi katika shirika lisilo la kiserikali (NGO) la DMediaCoD.
* Kozi ya ufundi mitambo ya radio itatolewa bure kwa wanafunzi wa journalism.
*Kampuni ya BROADCAST TECHNOLOGY LIMITED itawatafutia kazi wanafunzi wote wanaofanya vizuri.
* Masomo yanaanza tarehe 09/08/2016, usajili mwisho tarehe 25/07/2016.
* Tupo Nanenane Mbeya kwa mawasiliano:- +255 765705781
No comments:
Post a Comment