KICHANGA KIKIWA KIMEKUTWA KIMETUPWA KATIKA MTO MITA ULIOPO ENEO LA MABATINI
ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIOPOA MTOTO HUYO KUTOKA MTONI
ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA ANAKIWEKA KICHANGA HICHO NDANI MFUKO BAADA YA KUKITOA KUTOKA MTONI |
WATOTO WAKIWA WANASHANGAA KICHANGA AMBACHO KILIOPOLEWA KUTOKA MTONI
****************************
HUYU NDIYE MTOTO ALIYE BAINI KUTUPWA KWA KICHANGA CHOONI ENEO LA STERIO KATA YA MAANGA JIJINI MBEYA
MWENYEKITI WA MTAA WA MAANGA MARY MWANSANKINGA AKIWA HAAMINI TUKIO LILILO MTAANI KWAKE
ASKARI WA JESHI LA ZIMA MOTO NA UOKOAJI WAKIHANGAIKA JUU YA KUOPOA KICHANGA HICHO KUTOKA CHOONI
BAADHI YA MASHUHUDA WAKISUBIRIA KUONA KITOTO KIKIOPOLEWA
ASKARI WAMEFANIKIWA KUKITOA KITOTO HICHO CHOONI NA KUBAINI KUWA NI CHA JINSI YA KIUME
BAADHI YA WAKAZI WAKISHANGAA BAADA YA KITOTO KUOPOLEWA
ASKARI WA ZIMAMOTO BAADA YA KUOSHA KICHANGA HICHO AMBACHO KILIZALIWA KATIKA UMRI WAKE
WANANCHI WAKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUSHUHUDIA KICHANGA HICHO BAADA YA KUOPOLEWA
JESHI LA POLISI PAMOJA NA ASKARI WA ZIMA MOTO WAKIONDOKA ENEO LA TUKIO
HII
NI NYUMBA AMBAMO MTOTO ALITUPWA CHOONI , WATU WANAJIULIZA WENGINE
WANAANDAMANA KWENYE NYUMBA ZA MAOMBI NA WAGANGA KUTAFUTA WATOTO WENGINE
WANAWATUPA BILA YA KUWA NA HURUMA WALA HOFU YA MUNGU.
No comments:
Post a Comment