Monday, 15 July 2013

NAHODHA STEVE GERRARD AONGEZA MIAKA MIWILI LIVERPOOL


KIUNGO Steven Gerrard amesaini Mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea Liverpool, ambao utamfanya adumu Anfield hadi atakapotimiza miaka 35.
Nahodha huyo wa Liverpool, ameiambia tovuti ya Liverpool kwamba: "Nafikiri kila mmoja anajua inamaanisha nini kwangu,".
Done: Liverpool captain Steven Gerrard has signed an extension to keep him at the club until 2015
Imekubali: Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard amesaini Mkataba wa kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2015

No comments: