Wednesday, 24 July 2013

TAASISI YA PAMBANA SAIDIA JAMII YATOA MISAADA MBALIMBALI KWA JAMII YA KYELA






 Hii cement ni kwa ajiri ya kujengea vyoo katika shule ya msingi







Taasisi ya Pambana saidia jamii ni taasisi iliyo jikita wilayani kyela kwa ajiri ya kusaidia wanajamii wa kyela katika matatizo mbalimbali yanayo wakabili.

Taasisi hii inaji shughilisha na shughuli mbalimbali kama vile za kiuchumi na kijamii,

No comments: