Watu wana utani wao kwamba Luis Suarez
wa Uruguay alipaswa kupewa tuzo ya kung’ata wenzake.
Maana aliwahi kufanya hivyo akiwa
anakipiga Ajax ya Uholanzi, lakini akarudia kwenye Ligi Kuu England.
Lakini jana amevunja rekodi kabisa baada
ya kumuuma Chiellin, beki wa Italia.
Sasa Suarez ni mtu ambaye amefikia uwezo
wa juu kabisa katika kuuma wenzake.
Tuzo kwenye picha ni ya kubuni lakini ni
kumkejeli Suarez kutokana na tabia ya kung’ata wenzake.
No comments:
Post a Comment