Kwanini uliumbwa?
Na kwanini uliumbwa mwanamke?
Tambua kusudi
la Mungu kukuumba mwanamke.
Kuna kipindi
unazaliwa na hujui kwanini uko hivyo, lakini kuna wakati unajijua kuwa wewe ni
mtoto, lakini kuanzia miaka 13, unaanza
kujitambua baada ya kuvunja ungo.
Baadae unajitambua
kuwa unatakiwa kuolewa… ukiolewa ghafla unapata karaha ndani ya miaka miwili
mitatu.
Wanawake wana
sifa 20, ambazo moja wapo ni kutafuta pesa, kulisha watoto, kuzaa, …..
Ndoa tumezaliwa
tumeikuta, lakini misingi ikiharibika ni shida kabisa….kunakuwa na roho za
laana.
Mwanaume
anaanza kukaa bar na kulewa sana kutokana na sababu zinazotokana na baadhi ya
wanawake, mwanaume akiona mwanamke unamsumbua anahisi wanawake wote ndivyo
walivyo, anaamua kunywa pombe kama liwazo lake.
Sababu hizo
ni pamoja na uchafu , mdomo(gubu), kumfokea mumeo/mpenzio, zeekeni na utamu
kama muwa.
No comments:
Post a Comment