MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr,
Mary Mwanjelwa,
akipiga penalti kwa ustadi mkubwa, baada ya kuhutubia wananchi na
wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta jana,
katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, na kukabidhi
jozi moja ya jezi na mipira mitano kwa timu ya Isyesye Jijini Mbeya
MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr, Mary Mwanjelwa, akihutubia wananchi na wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta jana, katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, wakati wa kukabidhi jozi moja ya jezi na mipira mitano kwa timu ya Isyesye Jijini Mbeya.
MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr, Mary Mwanjelwa, akimkabidhi kocha mkuu wa timu ya Isyesye Jijini Mbeya,Steve Kasalila, jozi ya jezi na mipira mitano
Mweyekiti wa UVCCM Mbeya Mjini, Maranyingi Matukuta, akifungua jezi, wakati Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr, Mary Mwanjelwa, akihutubia wananchi na wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta leo jioni, katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, kisha kukabidhi jozi moja ya jezi na mipira mitano kwa timu ya Isyesye Jijini Mbeya.

No comments:
Post a Comment