Meneja Mathew Sasali wa radio ushindi radio akifungua sherehe za uzinduzi wa radio hiyo na kutambulisha wafanyakazi wa radio |
Mwimbaji na mtangazaji wa radio ushindi Kelvin Nyorobi akitumbuza kwenye sherehe hiyo |
Wasikilizaji wa Ushindi FM waliojitokeza kwenye uzinduzi |
Marth Baraka akitumbwiza |
Wafanyakazi wa Ushindi Fm |
Mgeni rasmi Makamo wa askofu mkuu katika uzinduzi huo |
Mgeni rasmi akikata utepe ishara ya kufungua radio hiyo |
Makamo wa askofu na wachungaji wakiombea jiwe la msingi la radio ushindi |
Wachungaji wakiombea mnara wa kurushia matangazo wa radio ushindi |
Mgeni rasmi akikagua studio na kupewa maelezo namna ya urushwaji wa matangazo unavyofanyika |
JIWE LA MSINGI LA USHINDI FM |
No comments:
Post a Comment