JK AWASILI AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA MKUTANO WA 25 WA AU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa mara walipowasili
katika hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg,
Afrika ya Kusini kwa Mkutano wa 25 wa kawaida wa Umoja wa Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na Waziri Maendeleo
ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba mara walipowasili katika
hoteli ya Sun Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika
ya Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa
Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
ameongozana na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa wa Ubalozi
wa Tanzania nchini Afrika Kusini mara walipowasili katika hoteli ya Sun
Internatioal Maslow Hotel, Sandton, Johannesburg, Afrika ya Kusini kwa
ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 25 wa kawaidavwa Umojanwa Afrika.PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment