Wakati Umoja wa madereva nchini
umetangaza nia yao ya kugoma kwa muda usiojulikana Afisa mfawidhi wa Sumatra
mkoani hapa Sebastian Lohayi amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa mbeya kuwa swala
hili lipo kwenye meza ya mazungumzo.
Akizungumza ofisini kwake
amesema licha ya umoja wa madereva na wamiliki wa mabasi kutangaza mgomo
huo kwa kushinikiza serikali kutekeleza
madai yao lakini wananchi wa nyanda za juu kusini hususani mkoa wa mbeya wajue
kuwa swala hilo lipo kwenye hatua ya utatuzi na viongozi mbalimbali jijini dare
s salaam.
No comments:
Post a Comment