Mchezaji wa Simba kwenye safu ya ushambuliaji
Raphael Kiongera aliwasili jana usiku saa mbili kutokea nchini Kenya kwa
ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya. Vipimo hivyo vya afya vilifanyika
leo saa tano asubuhi na baada ya vipimo Daktari wa timu alishauri
Kiongera kupewa mapumziko ya mwezi mmoja kabla ya kujiunga na timu
rasmi.
No comments:
Post a Comment