Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw.
Shinichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye leo agosti 21,
2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw.
Shinichi Kitaoka (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu
Yoshida leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph Nyamhanga na Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick
Mfugale kwa Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA)
Bw. Shinichi Kitaoka aliyekutana naye leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment