WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI PROFESA MARK MWANDOSYA AKIWA NA MKEWE LUCY MWANDOSYA WAKIJIANDAA KUMPOKEA RAISI KIKWETE. |
VIONGOZI MBALIMBALI WA MADHEHEBU YA DINI PIA HAWAKUWA MBALI KATIKA MAPOKEZI YA MHESHIMIWA RAISI KIKWETE. |
WANANCHI WAKIMSUBIRI MHESHIMIWA RAISI KIKWETE NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MKOANI MBEYA. |
VIJANA WA CHAMA CHA WAENDESHA BAJAJI JIJI LA MBEYA NAO HAWAKUWA MBALI KUMLAKI RAISI KIKWETE AMBAPO WALIKUWA NA MABANGO YA KUMSHUKURU NA KUMPONGEZA. |
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPINI MEELA AKIMSIKILIZA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI PROFESA MWANDOSYA. |
MKUU WA WILAYA YA ILEJE BI ROSEMARY SENYAMULE AKITETA JAMBO NA WADAU WA HABARI MKOANI MBEYA HUKU WAKIMSUBIRI MHESHIMIWA RAISI. |
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AKIBADILISHANA MAWAZO NA BAADHI YA WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA. |
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI AKISISITIZA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI WALIOJITOKEZA KUMLAKI MHESHIMIWA RAISI. |
MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ( SUGU) CHADEMA NAYE HAKUWA MBALI KUMLAKI RAISI KIKWETE |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBASI KANDORO AKITETA JAMBO NA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANUS KAPUNGA. |
NDEGE ALIYOPANDA MHESHIMIWA RAISI IKIWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MKOANI MBEYA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU MBILI. |
RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE AKITEREMKA KWENYE NDEGE BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA(SIA) |
AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI |
BAADA YA KUVALISHWA SKAFU KUTOKA KWA VIJANA WA GREEN GUARD |
AKISALIMIANA NA WANANCHI |
NGOMA ZA ASILI ZIKITOA BURUDANI |
AKIONDOKA KATIKA UWANJA WA NDEGE HUKU AKIWAPUNGIA WANANCHI MKONO. |
No comments:
Post a Comment