Thursday 25 July 2013

MAADHIMISHO KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA WALIOPIGANA VITA VYA KAGERA YAFANYIKA MKOANI KAGERA


photo 2ce85
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na Wakuu Wengine wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja alipokuwa akitembelea sehemu walipozikwa Mashujaa wa Vita vya Kagera leo Julai 25, 2013 katika Kikosi cha Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments: