MENEJA WA UWANJA NDUGU KASILATI MWAKIBETE AKIZUNGUMZA JAMBO JUU YA MAANDALIZI YA NANE NANE
KATIBU WA TASO KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI NDUGU RAMADHANI KIBOKO AKITOA UFAFANUZI WA KINA JUU YA MASWALA NA MAANDALIZI YA NANE NANE MWAKA HUU. |
MWANDISHI WA HABARI EZEKIEL KAMANGA AKIULIZA MASWALI |
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KWA MAKINI KIKAO AMBACHO KILIKUWA KINAZUNGUMZIA JUU YA MAANDALIZI YA NANE NANE KWA MWAKA HUU 2013 |
MKUU WA MKOA WA KATAVI DR. RAJABU RUTENGWE AKIZUNGUMZA JAMBO WAKATI WA KIKAO CHA MAANDALIZI YA NANE NANE
KATIBU TAWALA WA MKOA WA MBEYA MARIAMU MTUNGUJA AKIANDIKA MASWALA AMBAYO YALIKUWA YANAONGELEWA KATIKA KIKAO HICHO
BAADHI YA WAJUMBE WAKIWA WANAFUATILIA KIKAO
MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANAS KAPUNGA AKICHANGIA KATIKA KIKAO HICHO |
BAADHI YA VIONGOZI WA MIKOA NA WILAYA WAKITEMBELEA MABANDA YAO KWA AJILI YA MAANDALIZI.
KAZI ZIKIWA ZINAENDELEA KATIKA MAANDALIZI YA NANE NANE
BAADHI YA MAENEO MBALIMBALI YAKIWA YANAANDALIWA KWA AJILI YA NANE NANE |
No comments:
Post a Comment