Wednesday, 3 July 2013

UJENZI WA KITUO CHA MABASI NANE NANE MBEYA UNAENDELEA KWA KASI


 Baadhi ya Magari ya kazi yakiwa yanasubiri Kuanza kazi
 Moja ya Barabara ambayo inaendelea kujengwa katika Eneo hilo  la kituo cha Mabasi Nane nane
 Kituo cha Mabasi Nane nane kikiendelea kujengwa kwa kasi
 Vifusi vikiwa vimewekwa tayari kwa ajili ya kutumika
Kazi  ikiwa inaendelea kwa Kasi

No comments: