Monday 18 August 2014

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO

Chuo cha Digital Media College of Tanzania, Mbeya kinakutangazia nafasi za masomo kwa intake ya mwezi wa tisa (September), 2014.

1. Kozi
>> Basic Certificate in Journalism (NTA level 4) mwaka mmoja.
>> Tunatoa Certificate in Journalism (NTA level 5) mwaka mmoja.
>> Na January 2015, tutaanza kutoa diploma in Journalism (NTA level 6). Miaka miwili.

Katika kozi hizi tunawapa wanafunzi nafasi ya kuspecialize eneo maalumu wanalotaka. Na sasa kuna maeneo maalum kama yafuatayo nayayofundishwa kwa ufasaha:-

A: Radio Production
B: OnlineJournalism/Digital Journalism
C: Radio Presenter
D: TV Presenter
E: Radio Technician
F: TV/Video Production
G: News

2. Sifa za Kujiunga.
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wa D 4 kwa NTA level 5, zikiwa pungufu ya hapo ataanza na NTA level 4.

3. Mazingira ya kujifunzia.
Tuna studio ya radio na TV kwa ajili ya mazoezi, computers na mambo mengine yote muhimu.

4. Ada
Certificate kozi zote ni Tshs 700,000/=
Hostel (A) chakula ni Tshs 1700/= kila siku kwa milo mitatu (Asubuhi, Mchana na Usiku) ila utatakiwa kulipa kwa mwezi Tshs 55,000/= Uje na godoro la kulalia, vyumba utapewa bure.

5: Sare
Sketi/Suruali ya kijani na shati jeupe. Tshirt utalipia Tshs 10,000/=

6: Field
Wanafunzi watatafutiwa field katika vyombo vya habari mbalimbali.

7: Mawasiliano

Simu za ofisi: 0654 634163
0686 235888
0765 753349

Email: admission@dmctanzania.org
Website: www.dmctanzania.org

Au fika chuoni kwetu Nanenane, Mbeya kwenye majengo ya sekta ya Chai (Wakulima wadogo wachaiRungwe)
Photo: Chuo cha Digital Media College of Tanzania, Mbeya kinakutangazia nafasi za masomo kwa intake ya mwezi wa tisa (September), 2014.

1. Kozi
>> Basic Certificate in Journalism (NTA level 4) mwaka mmoja.
>> Tunatoa Certificate in Journalism (NTA level 5) mwaka mmoja.
>> Na January 2015, tutaanza kutoa diploma in Journalism (NTA level 6). Miaka miwili.

Katika kozi hizi tunawapa wanafunzi nafasi ya kuspecialize eneo maalumu wanalotaka. Na sasa kuna maeneo maalum kama yafuatayo nayayofundishwa kwa ufasaha:-

A: Radio Production
B: OnlineJournalism/Digital Journalism
C: Radio Presenter 
D: TV Presenter
E: Radio Technician 
F: TV/Video Production
G: News

2. Sifa za Kujiunga.
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wa D 4 kwa NTA level 5, zikiwa pungufu ya hapo ataanza na NTA level 4.

3. Mazingira ya kujifunzia.
Tuna studio ya radio na TV kwa ajili ya mazoezi, computers na mambo mengine yote muhimu.

4. Ada
   Certificate kozi zote ni Tshs 700,000/=
   Hostel (A) chakula ni Tshs 1700/= kila siku kwa milo mitatu (Asubuhi, Mchana na Usiku) ila utatakiwa kulipa kwa mwezi Tshs 55,000/= Uje na godoro la kulalia, vyumba utapewa bure.

5: Sare
  Sketi/Suruali ya kijani na shati jeupe. Tshirt utalipia Tshs 10,000/=

6: Field
    Wanafunzi watatafutiwa field katika vyombo vya habari mbalimbali.

7: Mawasiliano

Simu za ofisi: 0654 634163
                     0686 235888
                      0765 753349
  
Email: admission@dmctanzania.org 
Website: www.dmctanzania.org

Au fika chuoni kwetu Nanenane, Mbeya kwenye majengo ya sekta ya Chai (Wakulima wadogo wa CHAI Rungwe)

No comments: