Monday 22 June 2015

Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA) lamteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti mpya


Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) asubuhi ya leo limemteua Sheikh Aboubakar Zuberi kuwa Mufti Mpya wa muda.

Sheikh Zuber atashikilia nafasi hiyo kwa muda wa miezi mitatu (siku 90) kuelekea katika uchaguzi wa kumpata atakayerithi nafasi hiyo kwa mamlaka kamili.

No comments: