Saturday 6 February 2016

IMANI ZA KISHIRIKINA ZATAWALA KUWLEKEA MCHEZO WA MBEYA CITY DHIDI YA PRISONS

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena kutimua vumbi jumapili hii kwenye dimba la Sokoine kati ya Mbeya City dhidi ya Tanzania Prisons.

Kuelekea mtanange huo,vitendo vya kishirikina vimeendelea kushamiri,hii ni baada ya Meneja wa Uwanja Mwaluka kukuta mayai yamevunjwa katikati ya Uwanja asubuhi ya leo,wakati Uwanja huo ukifyekwa.

No comments: