Thursday 1 November 2012

SAKATA LA UKOSEFU WA MAFUTA JIJINI MBEYA.. HALI NI TETE ..

 

 Foleni ya kutosha kuelekea kufuata mafuta
 Boda nazo zinangoja mafuta hapa 
 Magari yakiwa  yameongozana foleni kwa ajili ya kutaka mafuta
 Barabara nyeupe watu wamepaki magari Majumbani kahuna mafuta 
 Daladala nazo shida , hizi ni baadhi ukipanda tuu kila kituo utalipia 1000

 

No comments: