Wednesday 14 February 2018

TUKUYU STATS YAIBANJUA YOSSO FC BAI 2-1

Ligi daraja la tatu hatua ya sita bora ngazi ya mkoa wa Mbeya imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali jioni ya Leo.

Kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Moringe Sokoine kulifanyika mchezo kati ya TUKUYU stars Banyambala dhidi ya Yosso fc na mchezo umemalizika kwa TUKUYU stars kuibuka na ushindi wa bao 2-1 na kufikisha pointi 6 baada ya kucheza michezo 3

No comments: