Sunday 18 February 2018

MBEYA CITY VS STAND UNITED SOKOINE JIONI YA LEO

Ligi kuu Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi jioni ya Leo kwenye viwanja mbalimbali.

Kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine kutakuwa na mchezo kati ya Wenyeji Mbeya city dhidi ya Stand united.

Kwenye mchezo wa awali uliyofanyika mkoani Shinyanga ulimalizika kwa Stand united kupata ushindi wa hao 2-1

No comments: