Tuesday, 16 April 2013

MBEYA SASA NI AIBU TUPU


 
KUSHOTO NI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI AKITETA JAMBO NA MEYA WA JIJI HILO ATHANAS KAPUNGA
HAPA MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI(KUSHOTO) AKIWA NA MJUMBE WA KAMATI YA FEDHA YA JIJI HILO AMBAYE NI DIWANI ALIYEJULIKANA KWA JINA MOJA LA MAKWALU. 

* Mkandarasi aliyeboronga ujenzi wa barabara za lami mitaa ya Jiji hilo aachishwa kazi bila kuchukuliwa hatua, akabidhiwa kazi mkandarasi mwingine.

* Uchafu wazidi kila kona ya Jiji, Halmashauri yakwama kutengeneza magari kwa kipuli cha Shilingi Laki moja na elfu hamsini!

*Ili kuwazima wanaoweza kuhoji, vigogo watumika njia ya kikoloni ya kuwagawa kisha kuwatawala....

*Tetesi za kuhamishwa Mkurugenzi zatanda, adaiwa kuwa mmoja wa......

*Kila aliyeshiriki mchezo ....abaki na marashi ya ''neema''

* Kitega uchumi cha Jiji kilichopo soko matola chashindwa kukamilika, Ghorofa la Soko la kimataifa la Mwanjelwa linalodaiwa kuwa chini ya kiwango na kushindwa kukamilika labaki na utata mtupu.

* Madiwani wa Chadema wabaini kupumbazwa na mmoja wa kigogo waliyefikiri kuwa yupo pamoja nao, wasema kilichobaki kuinusuru Mbeya ni vigogo wa CCM na serikali kuu kuyaona madudu hayo.

No comments: