Sunday, 21 April 2013

MWENYEKITI WA UMOJA WA SACCOS TAIFA NA PIA NI MFANYAKAZI WA TAZARA MBEYA AMBROSE LUCAS SHAYO APIGWA ATESWA NA KUCHOMWA MOTO KAWETELE MBEYA







HAPA NDIPO ALIPOTESWA NA KUUWAWA AMBROSE SHAYO
HAPA NDIPO ALIPOCHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA

HILI NDILO ENEO GARI YAKE ILIPINDUKA NA WAUWAJI WALIPOPATA NAFASI YA KUMUUA AMBROSE
HAPA NDIPO GARI YA AMBROSE ILIPOGONGA NA KUPINDUKA WAKATI ANAKIMBIZWA NA WAUWAJI HAO

No comments: