Hizi ni picha za mtoto Isumaili Joseph anaesadikika kutendewa kitendo cha kinyama kwa kupigwa viboko kiunoni na mwalimu wake Mr. Nguige Joseph Rukasi.
Tukio hilo lilitokea tangu tarehe 11/2/2013 katika shule ya msingi Maendeleo Sunuka katika halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa Kigoma.
Mtoto huyu tangu mwezi
wa 2-8/2013 hawezi kukaa wala kuamka kwa kipindi chote analalia tumbo!
(Picha na habari na Sharon Mashanya wa kalulunga blog)


No comments:
Post a Comment