Mashabiki wa timu ya Mbeya City
wakiishangilia timu yao
|
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao |
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akiingia uwanjani |
RPC Mbeya kamanda Diwani akionyesha ishara ya ushindi huku akiwa ametinga jezi ya Mbeya city |
Meneja wa Uwanja wa Sokoine Modestus
Mwaruka akiwa na mayai matatu yaliyochorwa chorwa ambayo alidai kuwa ameyakuta
katikati ya uwanja
|
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akienda kukagua timu |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas
Kandoro akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Mbeya City, uwanja wa Sokoine
Mbeya.
|
Timu ya Mbeya City |
Timu ya Yanga |
Mambo yameshaanza |
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akiwa katikati ya mashabiki wa Mbeya City wakishangilia timu yao |
Meneja
Mahusiano ya wa Vodacom Salum Mwalimu wapili toka kushoto akiwa na
wenzake wa vodaco wakifuatilia kwa makini mechi kati ya Mbeya City na
Yanga
|
Hawa dogo wanataka kuniaharibia kazi kocha wa yanga |
Basi la Yanga baada ya kupasuliwa na chupa katika kioo cha
kulia mwa dereva kama inavyoonekana (Tundu kulia dirishani)
|
Dereva wa basi la yanga alijeruhiwa mkono wake wa kulia |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Abbas
Kandoro akiongea na waandishi wa habari
|
No comments:
Post a Comment