Tuesday 21 July 2015

HUU NDIO UAMUZI ALIOUCHUKUA MBUNGE ESTER BULAYA NA KATIKA ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK KAANDIKA HIVI


Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama vyetu. Mungu ibariki Tanzania.

No comments: