Katibu Mkuu wa 
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akikagua gwaride la 
wahitimu wa mafunzo ya awali kozi namba 26 wa Chuo Cha Magereza Kiwira 
mkoani Mbeya.
Gwaride la wahitimu 
likipita mbele ya jukwaa kwa heshima.
Wahitimu wa mafunzo 
ya awali ya kozi namba 26 wa Chuo cha Magereza, Kiwira mkoani Mbeya 
wakionyesha uwezo wao wa kujihami wanapopambana na adui.
Katibu Mkuu wa 
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akimkabidhi Jesca 
Simatya zawadi ya heshima kwa kuwa mwanafunzi bora kwa usafi chuoni 
hapo.
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment