Monday 19 February 2018

PRISONS ,MWADUI FC KAZI IPO JIONI YA LEO SOKOINE

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea kutimuwa vumbi jioni ya Leo kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Hapa.

Wajelajela ,Tanzania Prisons wanawakaribisha Mwadui FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuwa wenye ushindani mkubwa.

Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ,Prisons waliibuka na ushindi wa bao 3 ,kwenye mchezo uliyofanyika kwenye uwanja wa Mwadui complex.

No comments: