Wednesday, 27 March 2013

WATOTO KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WAMETOKA KUOKOTA KUNI NA KWENDA KUZIUZA WAPATE HELA YA SIKUKUU YA PASAKA

Watoto hawa wamekutwa na mpiga picha wetu wakitoka kuokota kuni maeneo ya msitu wa sisimba uliopo uzunguni Mbeya wamesema kuni hizo wanaenda kuziuza virabuni na kupata pesa ya kununulia nguo za pasaka hawakupenda kutaja majina yao ila wamesema wanatokea maeneo ya Nonde na machinjioni kata ya Itigi



Picha na Mbeya yetu

No comments: