Monday, 8 July 2013

OFISI YA WALEMAVU YAGEUZWA DAMPO LA TAKA RUNGWE



MOJA KATI YA MAJENGO YALIYOGEUZWA GHUBA LA TAKA 

BAADHI YA WANANCHI WAKISHANGAA JINSI TAKA , VITABU NA NYARAKA ZA SERIKALI VILIVYOTAPAKAA NJE YA OFISI YA WALEMAVU WILAYANI RUNGWE

BAADHI YA VITABU VILIVYOTUPWA BILA YA KUJALI GHARAMA KUBWA YA FEDHA ZA SERIKALI NA MISAADA YA WAFADHILI WANAOGHARAMIA BILA YA WATU WALIOPEWA DHAMANA YA KUTUNZA KUWA MAKINI NA KUACHA VIKINYESHEWA NA MVUA . KWA HALI HII TUNAWEZA KUJIKWAMUA KIUCHUMI?

BAADHI YA NYARAKA ZILIZOTUPWA 
WADAU WA ELIMU NA WALEMAVU MNASEMAJE KWA HILI?

PICHA NA MDAU WETU RUNGWE

No comments: