Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika kumuanga SHUJAA WA INJILI Dr Moses Kulola aliyefariki 29 Agosti saa 5.30 hapa jiji Dar.
Kati ya watu ambao wamekuwepo katika ibada hii ya kuuaga mwili wa Dr Askofu Moses Kuloa, wamehuduria watumishi wa Mungu mbalimbali ikiwa ni pamoja na maaskofu wainjilisti mitume na manabii.
Askofu kulola alizaliwa mkoani Mwanza, mwaka 1930 na kufariki 29 agost 2013.
 
Baadhi ya watumishi
 
Mama Kulola (Mjane)
 
Mtoto wa Mzee Kulola Willy, akilia kwa uchungu
 
 
Watumishi wa Mungu mbalimbali wakisubiria mwili wa Dr Moses Kulola
 
Msafara wa mwili wa marehemu Dr Mose Kulola ukiwasili katika viwanja vya Temeke
 
Waimbaji mbalimbali walikuwepo 

 Baadhi ya ndugu kutoka Mza 

Mchungaji Lwakatale akiandika kwenye kitabu cha waombolezaji

Watumishi wengi walifika kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa shujaa wa Injili Tz Dr Moses Kulola

Mchungaji  Getrude Lwakatare wa Mikocheni Asb. of God

Mchungaji Antony Lusekelo
 Askofu Silvester Gamanywa
Askofu Silvester Gamanywa
Watumishi wengi mbalimbali waliopata nafasi
ya kuelezea jinsi walivyomfahamu Dr Kulola, walisifu jinsi alivyokuwa akipiga injili isyokuwa na ubaguzi wala upendeleo.
Miongoni mwa watu waliofika na kueleza jinsio walivyomfahamu Mzee Kulola ni ni Katibu mstaafu wa CCM
Filip Mangula, ambaye amekuwa msaada mkuubwa katika maisha yake ya kazi. Na hata akampa mtoto wake jina la mzee kulola ( Moses)
Lakini pia kwa niaba ya jeshi la polisi, Adivela Senso ameeleza jinsi 
Mzee Kulola alivyoweza kulisaidia jeshi la Polisi pindi yanapotokea 
matukio ya ki ualifu, na mzee alienda sehemu zenye shida na kufanya 
mikutano ya injili.


Anthony Joseph mtangazaji wa WAPO Radio akitoa heshima zake za mwisho, nyuma ni Obedy Kikao mtangazaji wa Upendo FM radio

Ilikuwa ni siku ya Watumishi wa Mungu kukutana pamoja

Viongozi wa chama na selikari nao pia walikuja kuaga shujaa wa Imani




Msemaji wa jeshi la polisi nchini Adivera Senzo aliliwakirisha jeshi hilo katika msiba huu mkubwa

Makamu wa Rais Gharib Bilali akiwasiri katika kanisa la EAGT tayari kwa ajili ya kuja kutoa heshima za mwisho.


Askofu Silvester Gamanywa akiteta jambo na katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Dr. Wilbrod Slaa
 
 

 
 
No comments:
Post a Comment