Mbaaya zaidi, ukikuta mataa pekee ndo 
yanafanya kazi basi madereva hawaheshimu rangi gani inawaka. Utakuta mtu
 analazimisha kuvuka taa nyekundu badala ya kusimama na zikiwakaa 
kijanai wengine ndo wanataka kusimama!
Polisi wanatufanya tuwe na usugu wa kupuuzia rangi za mataa kiasi wakiondoka tu ili kupisha taa zifanye kazi basi msongamano unaanzia hapo maana hakuna tena anayejali taa za barabarani zina maana gani.
Tanzania bhana...!
                    
No comments:
Post a Comment