
Alijitahidi na kucheza vizuri hasa kwenye ligi ya mabingwa wa ulaya zaidi kwenye mchezo wa mtoano dhidi ya Man United katika uwanja wa Old Trafford lakini hatma yake ndani ya Madrid imezidi kuwa shakani baada ya klabu hiyo ya Spain kuongeza viungo watatu baada ya lile lundo la mwanzo - wamemsajili Isco, Asier Illarramendi na Casemiro.
Modric kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na kujiunga na United lakini mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy hakutaka kumuuza mchezaji huyo kwa wapinzani wa ligi ya nyumbani na hivyo akauzwa kwa klabu ya nje ya nchi. Kwa hali ilivyo sasa ndani ya Madrid inaweze kuwa rahisi kwa United kumpata kiungo huyo wa wa Croatia
No comments:
Post a Comment