Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo
Tukio
hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo
ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.Jamaa mmoja
jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania
alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema
jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.Jamaa akazidi kufunguka
nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke
wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada
ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha. Mwisho wa
siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili
kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.
Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania
Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani
No comments:
Post a Comment