Wednesday 30 April 2014

CHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMEKUFA MFEREJI WA ENEO LA KAGERA SOWETO JIJINI MBEYA



 Kilikwama hapo kwenye duara...!!!!! Mungu atusamehe.
Samahani kwa picha hii. Kichanga kikiwa kwenye kanga ya msmaria mwema aliyejitolea kukisitiri baada ya kuopolewa eneo la mfereji wa eneo la Kagera Soweto Jijini Mbeya.

No comments: