Tuesday, 7 October 2014

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA MMELIONA HILI?


Haya ni maeneo ya forest ya zamani jirani na shule ya ST. Franssic au jirani na hoteli ya Grand Palm  kwa ujumla hakufai hizi taka sasa takribani zaidi ya mwezi sasa zipo hapo na zinaendelea kujaa je wahusika mpoo? 


Moja ya walemavu wa akili akiokota chakula eneo hilo 

Ni hatari kwa watoto na kwa wale wenye ulemavu wa akili maana taka hizo ninanuka sana



Kero nyingine  mitaa hiyo hiyo ya forest ni majitaka yanayotiririka toka kwenye nyumba na kuingia mtaani huku wahusika wakipita hapo bila ya kuchukua hatua yeyote  jamani mwabwana afya mpoooo?

Maji taka hayooo yanaendelea na safari ya kuchafua mtaaa 

Safari inaendelea na huku harufu mtaa mzima



No comments: