Katika zoezi hili tunapenda wanachama na wapenzi wa Simba mpate taarifa rasmi kuwa Hamis Kiiza atafika nchini siku ya Alhamisi tarehe 2 July 2015 kwa ajili ya kufanya vipimo. Ikiwa atafanikiwa vipimo basi utaratibu wa usajili utaendelea.
Hamis Kiiza ni mchezaji kutoka Uganda ambaye pia anacheza timu ya Taifa ya Uganda, Uganda Cranes.
No comments:
Post a Comment