Mkuu wa
mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi
wakati alipowasili katika shule ya sekondari Kishumundu kwa ajili ya
hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa
ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA).(P.T)
Viongozi
mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama
pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa
Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana
lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA.
Wafadhili wa shule ya sekondari Kishumundu iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika hafla hiyo.
Mhifadhi
mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza
katika hafla ya makabidhiano ya Bweni la wasichana ambalo ujenzi wake
umefadhiliwa na TANAPA.
Meneja Ujirani Mwema wa Hifadhi za Taifa Tanzania,TANAPA,Ahmed Mbugi akisalimia katika hafla hiyo.
Kaimu
Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za Taifa,TANAPA,Ibrahimu Musa akizungumza
kuhusu sera ya ujirani mwema ambayo imekuwa ikifanywa na TANAPA katika
kusaidia jamii kwa nyanja mbalimbali zikiwemo za Elimu,Afya ,Miundombinu
n.k
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa ufadhili wa TANAPA.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa jengo la Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,ujenzi uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa,Tanzania ,TANAPA.
Bweni la wasichana katika shule ya sekondari ya Kishumundu lilojengwa naTANAPA.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari Kishumundu.
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la Bwenila wasichana katia shule ya sekondari Kishumundu wilayani Moshi.
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment