Wednesday 3 October 2012

MBUNGE MARY MWANJELWA PAMOJA NA DEREVA WAKE WALIVYO SAFIRISHWA KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI!



 MKE WA DEREVA WA MBUNGE ALIYE VAA KHANGA NYEKUNDU WAKIWA PAMOJA NA DR. MAMA KANAMA
 DEREVA MH.MBUNGE AKIWA ANAINGIZWA NDANI YA NDEGE SASA
 MH. MBUNGE HILDA NGOYE AKIMUAGA DEREVA WA MH.MARY MWANJELWA 
 DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE
 MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE 
 HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM 
MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA 
 MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE
 SHUGHULI YA KUAGA INAENDELEA 
 VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI 
 NDEGE HIYO INAONDOKA SASA
 WATU MBALIMBALI WAKIPUNGA MKONO WA KWAHELI NA ISHARA YA UPENDO KWA MARA BAADA YA NDEGE KUONDOKA
 
Picha na mbeya yetu

No comments: