Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm 104.0 iliyopo Jijini Mbeya Jina lake Limehifadhiwa alileta tafrani Mchana wa Leo mara baada ya kupanda juu ya mtambo wa Redio hiyo, na kutishia kujitupa chini kwa madai ya kuhitaji kulipwa mshahara wake kutoka kwa muajiri wake wa kituo hicho cha Redio kilichopo maeneo ya Block "T" Jijini Mbeya.
Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm (jina kapuni) akiwa juu ya Mnara wa Redio hiyo huku akisikika kusema "Mpaka Kieleweke leo nataka Pesa Zangu..."
Baadhi ya wakazi na Wananchi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia tukio hilo...
KWA HISANI YA MR.PENGO MMG MBEYA
No comments:
Post a Comment