![]() |
| TAPERI AKISUBIRI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU ILI ASICHOMWE MOTO BAADA YA KUMTAPERI FUNDI MAGARI KIASI CHA SH 250,000 HAPO ALIPO KAPATA KICHAPO CHA KUTOSHA |
![]() |
| KICHAPO KIMEANZA TENA MAANA ALITOKEZA JAMAA MWINGINE ALISHAWAHI TAPELIWA NA TAPELI HUYU MZOEFU |
![]() |
| WANANCHI WENYE HASIRA KALI WANAMTANDIKA KISAWASAWA YAANI HATARI TUPU |
![]() |
| FUNDI MAGARI ALIYETAPELIWA KIASI CHA SH 250,000 AKIWAOMBA WANANCHI WENYE HASIRA KALI WASIMCHOME MOTO TAPELI WAKE KWANI WAKIMCHOMA YEYE ATAKOSA PESA ZAKE KWANZA APATE PESA ZAKE NDIPO ACHOMWE KAZI IPO |
![]() |
| TAPELI ANAOMBA MSAMAHA KUWA HATARUDIA TENA KAZI HIYO YA UTAPELI AMEKOMA |
![]() |
| HAKI YAMUNGU TENEA NITARUDISHA PESA ZOTE KWANI NIMEMPA MWENZANGU NAOMBENI MSINIUE JAMANI NIMEKOSA SIRUDII TENA |
![]() |
| ACHOMWEEE ACHOMWEEE WALISIKIKA VIJANA HAO WAKITAKA TAPELI HUYO ACHOMWE MOTO KWANI AMEZOEA TABIA HIZO ZA KITAPELI ENEO HILO |
![]() |
| ALIYETAPELIWA AAMUA KUMKIMBIZA TAPELI WAKE ASICHOMWE MOTO KWANI AKICHOMWA MOTO ATAKOSA PESA ZAKE |
![]() |
| JAMAA NAO WAPI WAPO NYUMBA TU WANAMFUKUZIA KUTAKA KUENDELEA KUMTANDIKA TAPELI HUYO |
![]() |
| TAPELI AMEOKOLEWA KUCHOMWA MOTO SASA WANANCHI WANASUBIRIA POLISI ILI WAJE WAMCHUKUE HUYO TAPELI MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO POLISI WALIKUWABADO HAWAJAFIKA ENEO HILO |













No comments:
Post a Comment