JAMAA KAZIMWA MIA YAKE YA EMBE AAMUA KUANZISHA NGUMI YAANI SASA MAEMBE YOTE YAMETAWANYIKA NA NGUMI ZINAENDELEA |
KUSAIDIANA IPO JAMAA MWINGINE AINGILIA UGOMVI KAZI IPO HAYA NDIYO MAISHA YA BAADHI YA VIJANA HUKO MANOW RUNGWE |
KIJIJI CHETU HIKI CHA IKAMBAKU MANOW WILAYANI RUNGWE
MKOANI MBEYA KIONEKANAVYO UKIWA MLIMANI NA NDIKO NGUMI HIZO ZILIKUWA ZIKIPIGWA
|
No comments:
Post a Comment