MAREHEMU NGWAIR ALIKUWA SHABIKI MKUBWA WA KLABU YA MANCHESTER UNITED
Katika kumfahamu marehemu Albert Mangwea
nje ya muziki wake niligundua ni mpenzi mkubwa wa soka na alikuwa mmoja
ya mashabiki wakubwa wa Klabu bingwa ya England Manchester United.
Ngwair ambaye alikuwa mmoja ya
wanamuziki wakubwa wa Bongo Flava amefariki dunia nchini Afrika ya
Kusini jana kwa sababu ambazo bado hazijafahamika.
Mwenyezi mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu.
No comments:
Post a Comment